Mihale Afya Clinic - Taarifa Kamili za Uzazi na Afya ya Mwanamke Kiasili
1. Kuhusu Mihale Afya Clinic (About Us)
Mihale Afya Clinic inahusika na masuala ya uzazi, lishe na afya ya mwanamke kiasili. Karibu upate ushauri na mwongozo bora.
Tofauti yetu ni kwamba hatuuzi bidhaa tu, tunatoa suluhisho kamili la uzazi. Tunachanganya virutubisho vya lishe, mpango sahihi wa chakula, mazoezi, na ushauri wa afya ya akili ili kushughulikia chanzo halisi cha changamoto za uzazi. Safari yako ya kuwa mzazi inaanzia hapa.
Mwanzilishi (Founder): Coach Lilian Mihale (Mfamasia Mihale).
Kiwango cha kuridhika kwa wateja (Customer Satisfaction Rate): 98% ya wateja wetu wanaridhika na huduma zetu za uzazi na afya ya uzazi.
2. Huduma Zetu za Kipekee (Our Services)
-
Virutubisho Asili (Natural Supplements)
Tuna virutubisho asili vilivyothibitishwa kuboresha mfumo wa uzazi na kuondoa sumu mwilini.
-
Lishe na Mpango Maalumu (Nutrition and Custom Diet Plans)
Tuna mpango maalum wa chakula unaosaidia kurekebisha vichocheo (hormones), kuimarisha ubora wa mayai, na kutayarisha mwili kwa ujauzito salama.
-
Mazoezi ya Mfumo wa Uzazi (Reproductive System Exercises)
Mazoezi huboresha mzunguko wa damu kwenye viungo vya uzazi, kusawazisha homoni, na kuimarisha ubora wa mayai ili kuongeza uwezekano wa kushika ujauzito.
-
Ushauri wa Kitaalamu (Professional Counseling)
Ushauri wa kisaikolojia na elimu ya afya ya akili ili kupunguza msongo wa mawazo wakati wa kusubiri.
-
Ovulation Tracking (Ufuatiliaji wa Siku za Hatari)
Vifaa vya kisasa na mwongozo wa kufuatilia siku zako za hatari kwa usahihi kwa 100%.
-
Elimu na Vitabu (Education and Books)
Pata vitabu na miongozo ya siri ya uzazi ambayo haitolewi hospitalini kawaida.
3. Bidhaa Zetu Maalum (Our Special Products)
A. Detox ya Barley Glow
Detox ya Barley Glow ni Superfood ya Asili kwa ajili ya uzazi bora. Usiishie tu kupanda mbegu bora kwenye ardhi chafu. Safisha mwili wako kwanza ili uwe tayari kupokea baraka ya ujauzito.
Sifa kuu na faida za Barley Glow:
- Inasafisha mwili uliyochoka kwa dawa nyingi: Huondoa sumu kwenye ini, damu, na kizazi zilizojikusanya kwa miaka kutokana na dawa na vyakula vya viwandani. Mwili unakuwa safi na tayari kupokea virutubisho vingine.
- Inapunguza uvimbe wa ndani (inflammation): Inasaidia kupunguza uvimbe sugu wa PID, fangasi, au maumivu ya nyonga kwa kutumia antioxidants kama vitamin C, E, na chlorophyll. Maumivu hupungua, mzunguko wa hedhi unakuwa wa kawaida.
- Inasawazisha homoni: Inajumuisha madini kama magnesium, zinc, na folate yanayorejesha usawa wa homoni, kuboresha ovulation, na kupunguza stress. Mwili unarudi kwenye 'balance' na mzunguko wa uzazi unakuwa sawa.
- Inajenga tena damu na ovari: Ina chlorophyll na iron zinazoongeza damu safi na oksijeni kwenye ovari, kutoa nguvu mpya kwa mfumo wa uzazi. Ovari zinapata nguvu mpya na mazingira ya kutunga mimba yanaboreshwa.
- Inapunguza asidi (Alkaline): Inarekebisha mazingira ya mwili kuwa alkaline, ambayo ni rafiki zaidi kwa mbegu ya kiume kuishi na kufanya kazi. Mbegu zinakuwa na nafasi kubwa zaidi ya kufika na kutunga mimba.
B. Ovulation Test Kit (Kipimo cha Ovulation)
Ovulation test kit ni kifaa kinachomsaidia mwanamke kutambua siku zake za rutuba (fertile days) kwa kupima homoni ya LH kwenye mkojo kuanzia masaa 24–36 kabla ya yai kutoka.
Gharama za Ovulation Test Kit:
- Jumla (Wholesale): Tsh 1,500 kwa kipande kimoja (Kuanzia vipande 50)
- Reja Reja (Retail): Tsh 2,000 kwa kipande kimoja (Kuanzia vipande 7)
Manufaa ya Ovulation Test Kit:
- Kwa Kutafuta Mimba: Husaidia kujua siku sahihi za kushika mimba ili kuongeza uwezekano wa kutunga ujauzito.
- Kwa Upangaji Uzazi: Inasaidia kuepuka siku za hatari (fertile window) kwa njia ya asili bila kutumia kemikali.
- Hushinda mbinu za kubahatisha kwa 100%.
- Rahisi kutumia nyumbani wakati wowote.
- Huongeza uelewa wa mzunguko wako wa hedhi ya uzazi.
- Inatoa matokeo ya haraka na ya uhakika.
C. Vitabu Vyetu Vya Uzazi (Our Books)
-
Kitabu: Tunza Uke Wako
Mwandishi: Mfamasia Mihale
Maelezo: Mwongozo kamili wa jinsi ya kutunza afya ya mwanamke kiasili na kuzuia changamoto za uzazi.
Hali: Inapatikana
-
Kitabu: Mbigu ya Uzazi
Mwandishi: Mfamasia Mihale
Maelezo: Siri za mafanikio ya kushika ujauzito na kurekebisha mfumo wa uzazi kwa njia ya kitaalamu na kiasili.
Hali: Inapatikana
4. Ushuhuda na Mafanikio ya Wateja (Testimonials)
- "Nimehangaika miaka 7 kutafuta ujauzito. Nilikata tamaa, ndoa yangu ilikuwa inaweza kuvunjika kisa mtoto. Baada ya kuanza program ya Mihale, Mungu ametenda. Mimi ninamiaka 43 sasa naamini wamama wote tutazaa. Asante sana Coach Lilian na familia ya Mihale!"
- "Nilikuwa na uvimbe, maji, maumivu makali ya tumbo na mpangilio mbaya wa hedhi. Baada ya matibabu ya Mihale, hedhi ikakaa sawa na hatimaye Mungu aliskia maombi yetu. Sasa ni mjamzito na naenda kuwa mama. Ninafuraha sana isiyoelezeka. Mungu atakulipa dada!"
- "Miaka 5 sipati ujauzito, nilikuwa na hali ya uke mkavu. Baada ya program ya Mihale, namshukuru Mungu — ninaujauzito wa mwezi mmoja sasa. Nimejifungua mtoto wa kiume. Wapendwa katika Imani tusikate tamaa, Mungu yupo anasikia kilio cha kila mmoja wetu."
- "Nilikuwa nimeshaambiwa sitoweza kubeba ujauzito kwa sababu ya mirija kuziba. Nilijaribu madawa ya kila aina hadi kuambiwa nifanyiwe upandikizwaji. Miaka nane bila mtoto. Leo hii nitaenda kuitwa mama. Hata sikumaliza dozi, kitu kikaitika! Hizi dawa ni nzuri mno. Asante sana dkt Mihale!"
- "Napenda kuludisha shukrani zangu kwa Madam Mihale. Jinsi Mungu alimtumia kupitia dawa zake, nkashika ujauzito na sasa nimejipatia baby girl. Mungu alimtumia dada huyu kutuletea furaha kubwa. Jamani atusaidie — Mungu atakulipa!"
5. Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)
- Je, huduma zenu zinafaa kwa nani?
- Huduma zetu zinafaa kwa wanawake wote wanaokabiliana na changamoto za uzazi, wanawake wanaotayarisha miili yao kwa ajili ya ujauzito, na wanawake wanaotaka kuboresha afya zao za uzazi kiasili.
- Je, unatoa huduma za mbali (Online)?
- Ndiyo, tunatoa ushauri kamili kupitia WhatsApp, simu, na video calls. Bidhaa na miongozo yetu zinamfikia mteja popote alipo Tanzania na nje ya nchi.
- Gharama ya huduma ni kiasi gani?
- Tuna vifurushi mbalimbali kulingana na mahitaji yako. Wasiliana nasi kupitia WhatsApp kwa ajili ya tathmini ya awali ya bure ili tujue kifurushi gani kinakufaa zaidi.
- Je, njia hizi ni salama na za asili?
- Ndiyo, tunatumia mbinu za kiasili (Holistic Approach) zinazohusisha lishe, virutubisho asili, na mabadiliko ya mfumo wa maisha. Hakuna kemikali hatarishi zinazotumika.
- Inachukua muda gani kuona matokeo?
- Wateja wengi huanza kuona mabadiliko chanya ndani ya mzunguko wa kwanza au wa pili (mwezi 1-2). Uthabiti na kufuata mwongozo kikamilifu ni siri ya mafanikio ya haraka.
- Nitaanzaje safari yangu na Mihale Afya?
- Hatua ya kwanza ni kujiunga na kundi letu la WhatsApp au kututumia ujumbe mfupi. Tutakufanyia usaili mdogo ili kuelewa changamoto yako kabla ya kuanza tiba.
6. Mawasiliano na Mahali Tulipo (Contact Information)